34 – Ameeleza pia kuwa amemsikia Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) akisema:
”Muuliwaji ataletwa damu ikimtoka kwenye mishipa yake ya moyo, hali ya kuwa amemshika muuaji, mpaka amfikishe kwenye ´Arshi, ambapo atasema: ”Ee Mola wangu! Muulize huyu ni kwa nini aliniua!”[1]
[1] Mtunzi wa kitabu ameipokea kupitia kwa Rawh bin ´Abbaad, ambaye alikuwa mmoja katika wanafunzi wa Ahmad, kutoka kwa Ibn ´Amr kwa cheni ya wapokezi Swahiyh.
- Muhusika: Imaam Shams-ud-Diyn Muhammad bin Ahmad adh-Dhahabiy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Mukhtasar-ul-´Uluww, uk 97
- Taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket