180 – Duhaym ametukhabarisha: al-Waliyd bin Muslim ametukhabarisha: Maalik bin Anas ametukhabarisha, kutoka kwa Zayd bin Aslam, kutoka kwka ´Atwaa’ bin Yasaar, kutoka kwa Abu Sa´iyd, kutoka kwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam), ambaye amesema:

“Kikubwa ninachokuhofieni zaidi baada yangu yale mapambo ya dunia ambayo Allaah atakutoleeni.”[1]

[1] al-Bukhaariy (6427) na Muslim (1052).

  • Muhusika: Imaam Abu Bakr Ahmad bin Abiy ´Aaswim ash-Shaybaaniy (a.f.k. 287)
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Kitaab-uz-Zuhd, uk. 45
  • Imechapishwa: 09/07/2025