35- Imesihi kupokelewa kutoka kwa Ibraahiym bin al-Hakam bin Abaan (ambaye ni dhaifu), kutoka kwa baba yake, kutoka kwa ´Ikrimah aliyesema:
“Allaah hakugusa kitu kwa mkono Wake isipokuwa vitu vitatu: Ameipanda Pepo kwa mkono Wake, amemuumba Aadam kwa mkono Wake na ameiandika Tawraat kwa mkono Wake.”[1]
[1] as-Sunnah (573) ya Imaam ´Abdullaah bin Ahmad bin Hanbal.
- Mhusika: Imaam Shams-ud-Diyn Muhammad bin Ahmad adh-Dhahabiy
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Ithbaat-ul-Yad li-Laah Swifatan min Swifwaatih, uk. 29
- Imechapishwa: 03/07/2019
35- Imesihi kupokelewa kutoka kwa Ibraahiym bin al-Hakam bin Abaan (ambaye ni dhaifu), kutoka kwa baba yake, kutoka kwa ´Ikrimah aliyesema:
“Allaah hakugusa kitu kwa mkono Wake isipokuwa vitu vitatu: Ameipanda Pepo kwa mkono Wake, amemuumba Aadam kwa mkono Wake na ameiandika Tawraat kwa mkono Wake.”[1]
[1] as-Sunnah (573) ya Imaam ´Abdullaah bin Ahmad bin Hanbal.
Mhusika: Imaam Shams-ud-Diyn Muhammad bin Ahmad adh-Dhahabiy
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Ithbaat-ul-Yad li-Laah Swifatan min Swifwaatih, uk. 29
Imechapishwa: 03/07/2019
https://firqatunnajia.com/34-maneno-ya-ikrimah-kuhusu-mikono-ya-allaah/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)