18 – Muda mrefu wa mazungumzo kwa simu
Miongoni mwa makosa yanayokiuka Shari´ah ni kutumia muda mrefu kuzungumza na simu ambapo utamkuta mwanamke mmoja anazugnumza na mwanamke mwenzake kuhusu mambo yasiyo na umuhimu, ilihali walikuwa pamoja shuleni.
- Muhusika: Dr. ´Abdul-´Aziyz bin Daawuud al-Faaiz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Tawjiyhaat wa Tanbiyhaat lil-Fataati al-Muslimah, uk. 31
- Imechapishwa: 11/03/2026
18 – Muda mrefu wa mazungumzo kwa simu
Miongoni mwa makosa yanayokiuka Shari´ah ni kutumia muda mrefu kuzungumza na simu ambapo utamkuta mwanamke mmoja anazugnumza na mwanamke mwenzake kuhusu mambo yasiyo na umuhimu, ilihali walikuwa pamoja shuleni.
Muhusika: Dr. ´Abdul-´Aziyz bin Daawuud al-Faaiz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Tawjiyhaat wa Tanbiyhaat lil-Fataati al-Muslimah, uk. 31
Imechapishwa: 11/03/2026
https://firqatunnajia.com/34-kubwabwaja-muda-mrefu/