34. Je, kuna tofauti kati ya anayempenda kafiri kwa sababu ya dini yake na anayaempenda kwa sababu ya dunia yake?

Swali 34: Je, kuna tofauti kati ya anayewapenda makafiri kwa sababu ya dini yao na anayewapenda baadhi ya makafiri kwa sababu ya dunia yao?

Jibu: Ikiwa anawapenda kwa sababu ya mambo ya kidunia mapenzi ya kimaumbile, kama vile ni jamaa zake au kwa ajili ya mali yao, hiyo ni Muwaalaah. Lakini ikiwa anawapenda kwa sababu ya dini yao, basi hiyo ni kufuru na kuritadi.

  • Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: As-ilah wa Ajwibah fiy-Iymaan wal-Kufr, uk. 72
  • Imechapishwa: 09/01/2026