105 – Abu Hurayrah (Radhiya Allaahu ´anh) amesimulia kuwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alikuwa akisema anaposujudu:
اللَّهُمَّ اغْفِرْ لِي ذَنْبِي كُلَّهُ: دِقَّهُ وَجِلَّهُ، وَأَوَّلَهُ وَآخِرَهُ، وَعَلاَنِيَّتَهُ وَسِرَّهُ
“Ee Allaah! Nisamehe dhambi zangu zote; ndogo na kubwa, za mwanzo na za mwisho, za dhahiri na za kujificha.”[1][2]
Ameipokea Muslim.
[1] Muslim (482).
[2] Imekwishatangulia maana yake katika Hadiyth (26).
- Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: al-Ad´iyah wal-Adhkaar, uk. 104
- Imechapishwa: 04/11/2025
105 – Abu Hurayrah (Radhiya Allaahu ´anh) amesimulia kuwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alikuwa akisema anaposujudu:
اللَّهُمَّ اغْفِرْ لِي ذَنْبِي كُلَّهُ: دِقَّهُ وَجِلَّهُ، وَأَوَّلَهُ وَآخِرَهُ، وَعَلاَنِيَّتَهُ وَسِرَّهُ
“Ee Allaah! Nisamehe dhambi zangu zote; ndogo na kubwa, za mwanzo na za mwisho, za dhahiri na za kujificha.”[1][2]
Ameipokea Muslim.
[1] Muslim (482).
[2] Imekwishatangulia maana yake katika Hadiyth (26).
Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: al-Ad´iyah wal-Adhkaar, uk. 104
Imechapishwa: 04/11/2025
https://firqatunnajia.com/34-duaa-ya-kwenye-sujuud-ii/