17 – Kupaka rangi za kucha
Miongoni mwa makosa yanayokiuka Shari´ah ni kuweka rangi ya kucha inayojulikana kama “manikiyr” na kutokuiondoa wakati wa kuswali, jambo ambalo ni kosa kwa sababu rangi hiyo inazuia maji kufika kwenye kucha wakati wa kutawadha. Kwa hivyo ni lazima iondolewe wakati wa kutawadha.
- Muhusika: Dr. ´Abdul-´Aziyz bin Daawuud al-Faaiz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Tawjiyhaat wa Tanbiyhaat lil-Fataati al-Muslimah, uk. 31
- Imechapishwa: 11/03/2026
17 – Kupaka rangi za kucha
Miongoni mwa makosa yanayokiuka Shari´ah ni kuweka rangi ya kucha inayojulikana kama “manikiyr” na kutokuiondoa wakati wa kuswali, jambo ambalo ni kosa kwa sababu rangi hiyo inazuia maji kufika kwenye kucha wakati wa kutawadha. Kwa hivyo ni lazima iondolewe wakati wa kutawadha.
Muhusika: Dr. ´Abdul-´Aziyz bin Daawuud al-Faaiz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Tawjiyhaat wa Tanbiyhaat lil-Fataati al-Muslimah, uk. 31
Imechapishwa: 11/03/2026
https://firqatunnajia.com/33-rangi-za-kucha/