177 – Fadhwl bin Sahl al-A´raj ametuhadithia: Abu Ahmad az-Zubayriy ametukhabarisha: ´Abdul-Jabaar ametukhabarisha, kutoka kwa ´Awn bin Abiy Juhayfah: Sijui kama kuna mwingine zaidi ya baba yangu ambaye amesimulia kuwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Mtafunguliwa maisha ya dunia, mpate mzipambe nyumba zenu kama inavyopambwa Ka’bah.”[1]
[1] Swahiyh kwa mujibu wa al-Albaaniy katika “Swahiyh-ul-Jaamiy´” (3614).
- Muhusika: Imaam Abu Bakr Ahmad bin Abiy ´Aaswim ash-Shaybaaniy (a.f.k. 287)
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Kitaab-uz-Zuhd, uk. 44
- Imechapishwa: 08/07/2025
177 – Fadhwl bin Sahl al-A´raj ametuhadithia: Abu Ahmad az-Zubayriy ametukhabarisha: ´Abdul-Jabaar ametukhabarisha, kutoka kwa ´Awn bin Abiy Juhayfah: Sijui kama kuna mwingine zaidi ya baba yangu ambaye amesimulia kuwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Mtafunguliwa maisha ya dunia, mpate mzipambe nyumba zenu kama inavyopambwa Ka’bah.”[1]
[1] Swahiyh kwa mujibu wa al-Albaaniy katika “Swahiyh-ul-Jaamiy´” (3614).
Muhusika: Imaam Abu Bakr Ahmad bin Abiy ´Aaswim ash-Shaybaaniy (a.f.k. 287)
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Kitaab-uz-Zuhd, uk. 44
Imechapishwa: 08/07/2025
https://firqatunnajia.com/33-kufunguliwa-kwa-maisha-ya-dunia/