126-
اللّهُـمَّ إِنا نَجْـعَلُكَ في نُحـورِهِـم، وَنَعـوذُ بِكَ مِنْ شُرورِهـمْ
”Ee Allaah! Hakika sisi tunakufanya Wewe uwe katika vifua vyao na tunajilinda Kwako kutokamana na shari zao.”[1]
127-
اللّهُـمَّ أَنْتَ عَضُـدي، وَأَنْتَ نَصـيري، بِكَ أَجـولُ وَبِكَ أَصـولُ وَبِك أُقـاتِل
“Ee Allaah! Hakika Wewe ndiye msaidizi wangu, Nawe ndiye mnusura wangu; Kwako ninazunguka, Kwako ninavamia na Kwako ninapigana.”[2]
128-
حَسْبُـنا اللهُ وَنِعْـمَ الوَكـيل
”Allaah anatutosheleza Naye ni mbora wa kutegemewa.”[3]
[1] Abu Daawuud (02/89). Ni Swahiyh kwa mujibu wa al-Haakim na adh-Dhahabiy akaafikiana naye (02/142).
[2] Abu Daawuud (03/42) na at-Tirmidhiy (05/572). Tazama “Swahiyh-ut-Tirmidhiy” (03/183).
[3] al-Bukhaariy (05/172).
- Mhusika: Shaykh Sa´iyd bin ´Aliy bin Wahf al-Qahtwaaniy
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Huswn-ul-Muslim
- Imechapishwa: 29/04/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)