Sunnah imetaja ya kuwa mwenye kuswali, pamoja na kufunika uchi wake, anatakiwa pia kufunika bega lake ndani ya swalah yake. Abu Hurayrah (Radhiya Allaahu ´anh) ameeleza ya kwamba Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Asiswali mmoja wenu ndani ya nguo moja hali ya kuwa hakuna chochote cha hiyo nguo kinachofunika mabega yake.”
Ameipokea al-Bukhaariy (359) na Muslim (1151).
- Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-Muhsin bin Hamad al-´Abbaad
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Shuruwt-is-Swalaah, uk. 33
- Imechapishwa: 26/05/2026
Sunnah imetaja ya kuwa mwenye kuswali, pamoja na kufunika uchi wake, anatakiwa pia kufunika bega lake ndani ya swalah yake. Abu Hurayrah (Radhiya Allaahu ´anh) ameeleza ya kwamba Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Asiswali mmoja wenu ndani ya nguo moja hali ya kuwa hakuna chochote cha hiyo nguo kinachofunika mabega yake.”
Ameipokea al-Bukhaariy (359) na Muslim (1151).
Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-Muhsin bin Hamad al-´Abbaad
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Shuruwt-is-Swalaah, uk. 33
Imechapishwa: 26/05/2026
https://firqatunnajia.com/31-mabega-yanatakiwa-kufunikwa-ndani-ya-swalah/