126 – ´Ubaydullaah bin Sa´iyd ametukhabarisha: ´Abdur-Rahmaan ametukhabarisha: ´Abdul-´Aziyz bin Abiy Haazim ametukhabarisha, kutoka kwa Suhayl bin Abiy Swaalih, kutoka kwa baba yake, kutoka kwa Abu Hurayrah, ambaye amesimulia kwamba Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
”Bora ya mtu ni Abu Bakr! Bora ya mtu ni ´Umar! Bora ya mtu ni Abu´Ubaydah bin al-Jarraah! Bora ya mtu ni Thaabit bin Qays! Bora ya mtu ni Mu´aadh bin ´Umar bin al-Jamuuh! Bora ya mtu ni Mu´aadh bin Jabal! Bora ya mtu ni Sahl bin Baydhwaa’!”[1]
´Abdur-Rahmaan amesema:
“Hivo ndivo alivosema; Sahl bin Baydhwaa’.”
[1] at-Tirmidhiy (3795), aliyesema Hadiyth ni nzuri, na al-Haakim (3/233 na 268), ambaye amesema Hadiyth ni Swahiyh kwa mujibu wa sharti ya Muslim. Swahiyh kwa mujibu wa al-Albaaniy katika “Swahiyh Sunan at-Tirmidhiy” (3795).
- Muhusika: Imaam Ahmad bin Shu´ayb an-Nasaa’iy (afk. 303)
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fadhwaa-il-us-Swahaabah, uk. 92
- Imechapishwa: 15/09/2026
126 – ´Ubaydullaah bin Sa´iyd ametukhabarisha: ´Abdur-Rahmaan ametukhabarisha: ´Abdul-´Aziyz bin Abiy Haazim ametukhabarisha, kutoka kwa Suhayl bin Abiy Swaalih, kutoka kwa baba yake, kutoka kwa Abu Hurayrah, ambaye amesimulia kwamba Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
”Bora ya mtu ni Abu Bakr! Bora ya mtu ni ´Umar! Bora ya mtu ni Abu´Ubaydah bin al-Jarraah! Bora ya mtu ni Thaabit bin Qays! Bora ya mtu ni Mu´aadh bin ´Umar bin al-Jamuuh! Bora ya mtu ni Mu´aadh bin Jabal! Bora ya mtu ni Sahl bin Baydhwaa’!”[1]
´Abdur-Rahmaan amesema:
“Hivo ndivo alivosema; Sahl bin Baydhwaa’.”
[1] at-Tirmidhiy (3795), aliyesema Hadiyth ni nzuri, na al-Haakim (3/233 na 268), ambaye amesema Hadiyth ni Swahiyh kwa mujibu wa sharti ya Muslim. Swahiyh kwa mujibu wa al-Albaaniy katika “Swahiyh Sunan at-Tirmidhiy” (3795).
Muhusika: Imaam Ahmad bin Shu´ayb an-Nasaa’iy (afk. 303)
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fadhwaa-il-us-Swahaabah, uk. 92
Imechapishwa: 15/09/2026
https://firqatunnajia.com/31-fadhilah-za-muaadh-bin-umar-bin-al-jamuuh/