172 – al-Hasan bin ´Aliy al-Hulwaaniy ametuhadithia: ´Abdus-Swamad bin ´Abdil-Waarith ametukhabarisha: Haashim al-Kuufiy ametukhabarisha: Zayd al-Khath´amiy ametukhabarisha, kutoka kwa Asmaa’ al-Khath´amiyyah, ambaye amesimulia kuwa amemsikia Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) akisema:
”Ni ubaya uliyoje wa mja ambaye anaidhuru dini kwa dunia yake.”[1]
[1] at-Tirmidhiy (2448), ambaye amesema kuwa Hadiyth ni ngeni na cheni yake ya wapokezi si yenye nguvu. Dhaifu kwa mujibu wa al-Albaaniy katika “Dhwa´iyf Sunan at-Tirmidhiy” (2448).
- Muhusika: Imaam Abu Bakr Ahmad bin Abiy ´Aaswim ash-Shaybaaniy (a.f.k. 287)
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Kitaab-uz-Zuhd, uk. 43
- Imechapishwa: 08/07/2025
172 – al-Hasan bin ´Aliy al-Hulwaaniy ametuhadithia: ´Abdus-Swamad bin ´Abdil-Waarith ametukhabarisha: Haashim al-Kuufiy ametukhabarisha: Zayd al-Khath´amiy ametukhabarisha, kutoka kwa Asmaa’ al-Khath´amiyyah, ambaye amesimulia kuwa amemsikia Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) akisema:
”Ni ubaya uliyoje wa mja ambaye anaidhuru dini kwa dunia yake.”[1]
[1] at-Tirmidhiy (2448), ambaye amesema kuwa Hadiyth ni ngeni na cheni yake ya wapokezi si yenye nguvu. Dhaifu kwa mujibu wa al-Albaaniy katika “Dhwa´iyf Sunan at-Tirmidhiy” (2448).
Muhusika: Imaam Abu Bakr Ahmad bin Abiy ´Aaswim ash-Shaybaaniy (a.f.k. 287)
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Kitaab-uz-Zuhd, uk. 43
Imechapishwa: 08/07/2025
https://firqatunnajia.com/31-anaidhuru-dini-kwa-dunia-yake/