06 – Mke kutomuasi mume wake na aishe na kutaamiliana naye kwa uzuri na kuzinduka naye katika kila kitu
Naona ni vyema kunakili wasia wa mama mmoja alikuwa akimpa binti yake, kwani ni wasia wenye kutosheleza kwa mwenye kuuelewa na akaufahamu. Mwanamke mmoja mwenye hekima na akili alimuusia Umaamah bint al-Haarith, msichana wake wakati alipoenda kwa mume wake.
- Muhusika: Shaykh Jamaal bin Furahyaan al-Haarithiy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Twalaaq – asbaabuhu wa ´ilaajuh, uk. 48
- Imechapishwa: 27/04/2024
06 – Mke kutomuasi mume wake na aishe na kutaamiliana naye kwa uzuri na kuzinduka naye katika kila kitu
Naona ni vyema kunakili wasia wa mama mmoja alikuwa akimpa binti yake, kwani ni wasia wenye kutosheleza kwa mwenye kuuelewa na akaufahamu. Mwanamke mmoja mwenye hekima na akili alimuusia Umaamah bint al-Haarith, msichana wake wakati alipoenda kwa mume wake.
Muhusika: Shaykh Jamaal bin Furahyaan al-Haarithiy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: at-Twalaaq – asbaabuhu wa ´ilaajuh, uk. 48
Imechapishwa: 27/04/2024
https://firqatunnajia.com/30-tiba-ya-sita-ya-talaka-ambayo-ni-mke-kutomuasi-mumewe/