Imaam al-Barbahaariy (Rahimahu Allaah) amesema:
Hivyo ndivyo alivyosema Maalik bin Anas, Ahmad bin Hanbal na Fuqahaa´ kabla yao na baada yao. Na kujadiliana juu yake ni kufuru.
MAELEZO
Haya ndio maoni ya maimamu. Miongoni mwao akiwemo Maalik ambaye alikuwa ni mwanachuoni wa al-Madiynah. Kuhusu Imaam Ahmad aliadhibiwa juu ya hili na akaudhiwa (Rahimahu Allaah). Pamoja na hivyo akawa na subira. Kadhalika ni maoni ya maimamu wengine wa Ahl-us-Sunnah. Haya ndio maoni yao.
Si kwamba ni Imaam Ahmad na Maalik ndio walisema maoni haya peke yao. Maoni haya yalisemwa na waliokuwa kabla yao katika Maswahabah, Taabi´uun, waliofuata baada ya Taabi´uun na maimamu waliokuja baada yao.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Sharh-is-Sunnah, uk. 70
- Imechapishwa: 27/01/2018
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket