30. Juu kabisa alipofika Mtume katika safari yake ya usiku

28 – Asmaa´ bint Abiy Bakr (Radhiya Allaahu ´anhumaa) ameeleza kwamba Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

”Ile siku niliposafirishwa usiku, niliishilia kwenye mkunazi… ”[1]

Cheni ya wapokezi ni njema.

[1] Katika “al-Khaswaais al-Kubraa” amemuegemezea Ibn Marduuyah Hadiyth mfano wake kutoka kwake Asmaa´. Hadiyth iko na nyingi zinazoitia nguvu katika al-Bukhaariy na Muslim na kwenginepo kupitia kwa Anas na wengineo, ambazo unaweza kuziona katika “al-Khaswaais al-Kubraa”. Nimeikagua Hadiyth ya Anas katika ”Dhwilaal-ul-Jannah fiy Takhriyj-is-Sunnah” (791).

  • Mhusika: Imaam Shams-ud-Diyn Muhammad bin Ahmad adh-Dhahabiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Mukhtasar-ul-´Uluww, uk 95
  • Imechapishwa: 24/06/2024
  • taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy