13 – Mwanamke kutoka bila ya ruhusa ya mume wake
Miongoni mwa makosa yanayopingana na Shari´ah ni kutoka kwa baadhi ya wanawake pasi na waume zao kujua khaswa pale mwanamke anapotaka kwenda sokoni au kwa jirani, jambo ambalo halijuzu. Ni lazima kupata ruhusa ya mume kuhusu kutoka. Kwa hivyo zinduka juu ya hilo!
- Muhusika: Dr. ´Abdul-´Aziyz bin Daawuud al-Faaiz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Tawjiyhaat wa Tanbiyhaat lil-Fataati al-Muslimah, uk. 29-30
- Imechapishwa: 03/03/2026
13 – Mwanamke kutoka bila ya ruhusa ya mume wake
Miongoni mwa makosa yanayopingana na Shari´ah ni kutoka kwa baadhi ya wanawake pasi na waume zao kujua khaswa pale mwanamke anapotaka kwenda sokoni au kwa jirani, jambo ambalo halijuzu. Ni lazima kupata ruhusa ya mume kuhusu kutoka. Kwa hivyo zinduka juu ya hilo!
Muhusika: Dr. ´Abdul-´Aziyz bin Daawuud al-Faaiz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Tawjiyhaat wa Tanbiyhaat lil-Fataati al-Muslimah, uk. 29-30
Imechapishwa: 03/03/2026
https://firqatunnajia.com/29-mwanamke-kutoka-bila-ya-ruhusa-ya-mume/