29 – Salm bin Sulaymaan adh-Dhabbiy ametuhadithia: Abu Hurrah ametuhadithia, kutoka kwa al-Hasan: Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
أكثروا عليَّ الصلاة يوم الجمعة، فإنها تعرض عليَّ
”Niswalieni kwa wingi siku ya ijumaa. Kwani hakika zinaonyeshwa kwangu.”[1]
[1] Hadiyth Swahiyh kama ilivyo ya kabla yake.
- Muhusika: Imaam Ismaa´iyl bin Ishaaq al-Maalikiy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fadhwl-us-Swalaah ´alaan-Nabiy, uk. 40
- Imechapishwa: 09/01/2024
- Taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
29 – Salm bin Sulaymaan adh-Dhabbiy ametuhadithia: Abu Hurrah ametuhadithia, kutoka kwa al-Hasan: Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
أكثروا عليَّ الصلاة يوم الجمعة، فإنها تعرض عليَّ
”Niswalieni kwa wingi siku ya ijumaa. Kwani hakika zinaonyeshwa kwangu.”[1]
[1] Hadiyth Swahiyh kama ilivyo ya kabla yake.
Muhusika: Imaam Ismaa´iyl bin Ishaaq al-Maalikiy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fadhwl-us-Swalaah ´alaan-Nabiy, uk. 40
Imechapishwa: 09/01/2024
Taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
https://firqatunnajia.com/29-hadiyth-niswalieni-kwa-wingi-siku-ya-ijumaa/