Shaykh-ul-Islaam Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab (Rahimahu Allaah) amesema:

Kukisemwa: “Vipi umemjua Mola Wako?”…

MAELEZO

Kukisemwa… Bi maana ni kwa njia ipi umemjua Mola Wako (´Azza wa Jall)? Jibu ya swali hili ni:

“Nimemjua kwa alama Zake na viumbe Vyake.”

  • Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Thalaathat-il-Usuwl, uk. 47
  • Imechapishwa: 20/05/2020