12 – Kupunguza kifuniko cha uso
Miongoni mwa makosa yanayoenda kinyume na Shari´ah ni kupunguza kifuniko cha uso au kukifunua kabisa barabarani wakati karibu naye hakuna mtu yeyote au kusimama karibu na mlango wakati wa kufunguliwa kwake… tunatumaini kwamba hayo yanafanyika pasi na kukusudia. Hata hivyo mwanamke anapaswa kujisitiri mbele ya macho ya wanaume, kwa sababu kufanya hivo kunazuia shari na majaribu.
- Muhusika: Dr. ´Abdul-´Aziyz bin Daawuud al-Faaiz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Tawjiyhaat wa Tanbiyhaat lil-Fataati al-Muslimah, uk. 29
- Imechapishwa: 03/03/2026
12 – Kupunguza kifuniko cha uso
Miongoni mwa makosa yanayoenda kinyume na Shari´ah ni kupunguza kifuniko cha uso au kukifunua kabisa barabarani wakati karibu naye hakuna mtu yeyote au kusimama karibu na mlango wakati wa kufunguliwa kwake… tunatumaini kwamba hayo yanafanyika pasi na kukusudia. Hata hivyo mwanamke anapaswa kujisitiri mbele ya macho ya wanaume, kwa sababu kufanya hivo kunazuia shari na majaribu.
Muhusika: Dr. ´Abdul-´Aziyz bin Daawuud al-Faaiz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Tawjiyhaat wa Tanbiyhaat lil-Fataati al-Muslimah, uk. 29
Imechapishwa: 03/03/2026
https://firqatunnajia.com/28-kupunguza-kifuniko-cha-uso/
Mshirikishe mwenzako:
- Share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Print (Opens in new window) Print
- Email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Share on X (Opens in new window) X
- Share on Pocket (Opens in new window) Pocket