110 – Abul-Qaasim ´Ubaydullaah bin Muhammad bin ´Ubaydillaah an-Najjaar ametukhabarisha: Abul-Husayn Muhammad bin al-Mudhwaffar bin Muusa al-Haafidhw ametuzindua: Muhammad bin Ahmad bin al-Haytham ametukhabarisha: Maalik bin ´Abdillaah bin Sayf ametukhabarisha: ´Aliy bin al-Husayn ametuhadithia: ´Umar bin as-Swubh ametuhadithia, kutoka kwa Yuunus bin ´Ubayd, kutoka kwa al-Hasan, kutoka kwa Abu Hurayrah: Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
”Hatoisoma Qur-aan yule ambaye hatoifanyia kazi.”[1]
111 – Abul-Qaasim ´Abdul-´Aziyz bin Muhammad bin Ja´far al-´Attwaar na al-Hasan bin Abiy Bakr bin Shaadhaan wametukhabarisha: ´Abdul-´Aziyz ametuhadithia… al-Hasan pia amesema: ´Uthmaan bin Ahmad bin ´Abdillaah ad-Daqqaaq ametukhabarisha: Muhammad bin Ghaalib bin Harb ametuhadithia… ´Abdul-´Aziyz adh-Dhwabbiy ameongeza: Muslim bin Ibraahiym amenihadithia (na katika upokezi wa Ibn Shaadhaan “Muslim bin Ibraahiym ametuhadithia”): Swadaqah bin Muusa na al-Hasan bin Abiy Ja´far ametuhadithia: Maalik bin Diynaar ametuhadithia, kutoka kwa Thumaamah bin ´Abdillaah, kutoka kwa Anas bin Maalik: Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
”Wakati wa safari yangu ya usiku niliwapitia watu ambao midomo yao inakatwa kwa makasi ya moto; kila inapokatwa inakua tena. Nikasema: ”Ee Jibriyl! Ni kina nani watu hawa?” Ni makhatwiyb wa ummah wako ambao wanasema wasiyoyafanya, ambao wanasoma Kitabu cha Allaah pasi na kukifanyia kazi.”[2]
112 – al-Hasan bin Abiy Bakr ametukhabarisha: Ahmad bin Ishaaq bin Minjaab at-Twiybiy ametuzindua: Muhammad bin Ayyuub al-Bajaliy ametuhadithia: Abu Bakr – yaani Ibn Abu Shaybah – ametuzindua: ´Abdullaah bin Numayr ametuhadithia: Muhammad bin Ishaaq ametuhadithia, kutoka kwa ´Amr bin Shu´ayb, kutoka kwa baba yake, kutoka kwa baba yake: Nimemsikia Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) akisema:
”Siku ya Qiyaamah Qur-aan itajigeuza mwanaume ambapo imjilie mtu ambaye aliisoma na iende kinyume na amri yake, kisha awe mpinzani wake. Aseme: ”Ee Mola! Ulimfanya akanisoma! –ubaya uliyoje wa msomaji! Alivuka mipaka yangu, akazipoteza faradhi zangu, akayaingilia maasi yangu na akaacha utiifu wangu.” Ataendelea kumzidi kwa hoja mpaka kusemwe: ”Mfanye utakavyo.” Atamshika mkono wake na haitomwacha mpaka atapomtupa kwa pua yake Motoni.” Baada ya hapo ataletwa mtu mwema ambaye alikuwa ameisoma na kuchunga amri zake, kisha awe mpinzani wake. Aseme: ”Ee Mola! Ulimfanya akanisoma! Akachunga mipaka yangu, akazifanyia kazi faradhi zangu, akajiepusha na maasi yangu na kufuata utiifu wangu.” Ataendelea kumshinda hoja mpaka kusemwe: ”Mfanye utakavyo.” Atamshika mkono wake na haitomwacha mpaka atapomvisha vazi la hariri, taji la kifalme na kumpa kikombe cha pombe.”[3]
[1] Cheni ya wapokezi ni dhaifu sana kwa sababu ya ´Umar bin as-Swubh. Haafidhw Ibn Hajar amesema katika “at-Taqriyb”:
”Mwenye kuachwa. Ibn Raahuuyah amemtuhumu uwongo.”
[2] Cheni ya wapokezi ni nzuri. al-Mundhiriy amemnasibishia nayo Abiyd-Dunyaa, Ibn Hibbaan na al-Bayhaqiy.
[3] Cheni ya wapokezi ni dhaifu kwa sababu ya wasifu wa Muhammad bin Ishaaq, ambaye alikuwa mwenye hadhaa na hapa hakusimulia ameisikia Hadiyth kutoka kwa nani.
- Muhusika: Imaam Abu Bakr Ahmad bin ´Aliy al-Khatwiyb al-Baghdaadiy (afk. 463)
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Iqtidhwaa’-ul-´Ilm al-´Amal, uk. 73-74
- Imechapishwa: 21/05/2024
- Taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy

Muhusika: Imaam Abu Bakr Ahmad bin ´Aliy al-Khatwiyb al-Baghdaadiy (afk. 463)
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Iqtidhwaa’-ul-´Ilm al-´Amal, uk. 73-74
Imechapishwa: 21/05/2024
Taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
https://firqatunnajia.com/27-kuhifadhi-herufi-na-kupoteza-mipaka-yake/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket