Abu Ja´far at-Twahaawiy (Rahimahu Allaah) amesema:
48 – Matendo huzingatiwa ule mwisho wake.
MAELEZO
Hii ni sehemu ya Hadiyth ya Sahl bin Sa´d as-Saa´idiy (Radhiya Allaahu ´anh) aliyoipokea Ahmad na al-Bukhaariy. Imekaguliwa katika chanzo kilichotangulia (216).
- Muhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: al-´Aqiydah at-Twahaawiyyah – Sharh wa Ta´liyq, uk. 41
- Imechapishwa: 24/09/2024
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)