10 – Kuonyesha mikono na miguu:

Miongoni mwa makosa yanayopingana na Shari´ah ni kutoka baadhi ya wanawake wakiwa wamefunua mikono na miguu yao, jambo ambalo ni kosa. Kitu ambacho ni lazima kwa mwanamke – anapotaka kutoka – basi ni kujisitiri na kujiheshimu. Vilevile anapaswa kufunika viganja na miguu yake kwa glavu na soksi. Basi fanya hivo, ee mjakazi wa Allaah, ukingwe na Moto.

  • Muhusika: Dr. ´Abdul-´Aziyz bin Daawuud al-Faaiz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Tawjiyhaat wa Tanbiyhaat lil-Fataati al-Muslimah, uk. 29
  • Imechapishwa: 27/02/2026