26. Je, unajua ni wapi jua linapozamia?

24 – Abu Dharr (Radhiya Allaahu ´anh) amesimulia kuwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alisema:

”Je, unajua ni wapi jua linapozamia?” Nikajibu: “Allaah na Mtume wake ndio wajuzi zaidi.” Akasema: “Linaenda mpaka linasujudu chini ya ´Arshi kwa Mola wake na linaomba idhini… ”[1]

Ameipokea al-Bukhaariy.

[1] al-Bukhaariy (3199) na Muslim (159).

Muslim (159).

  • Mhusika: Imaam Shams-ud-Diyn Muhammad bin Ahmad adh-Dhahabiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Mukhtasar-ul-´Uluww, uk 93
  • Imechapishwa: 24/06/2024
  • taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy