Swali 25: Ni ipi hukumu ya mwenye kusema:
“Ndugu zetu manaswara.”?
Jibu: Iwapo anaona kuwa dini yao ni sahihi, madhehebu yao ni sahihi, kwamba wako katika haki na kwamba aende nao sambamba katika dini yao, basi hiyo ni kufuru na kuritadi. Lakini akisema hivo kwa kukosea, kuteleza ulimi, kosa au yuko na shaka, pengine asikufurishwe. Kwa hivyo ni jambo linahitaji upambanuzi.
- Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: As-ilah wa Ajwibah fiy-Iymaan wal-Kufr, uk. 57
- Imechapishwa: 09/01/2026
Swali 25: Ni ipi hukumu ya mwenye kusema:
“Ndugu zetu manaswara.”?
Jibu: Iwapo anaona kuwa dini yao ni sahihi, madhehebu yao ni sahihi, kwamba wako katika haki na kwamba aende nao sambamba katika dini yao, basi hiyo ni kufuru na kuritadi. Lakini akisema hivo kwa kukosea, kuteleza ulimi, kosa au yuko na shaka, pengine asikufurishwe. Kwa hivyo ni jambo linahitaji upambanuzi.
Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: As-ilah wa Ajwibah fiy-Iymaan wal-Kufr, uk. 57
Imechapishwa: 09/01/2026
https://firqatunnajia.com/25-mwenye-kuona-kuwa-manaswara-ni-ndugu-zake/