123- Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alikuwa akiwafunza pindi wanapofika makaburini kusema:
السَّلامُ عَلَيْكُمْ أَهْلَ الدِّيَارِ مِنَ الْمُؤْمِنِينَ وَالْمُسْلِمِين وَإِنَّا إِنْ شَاءَ اللهُ بكم لاحِقُونَ نَسْأَلُ الله لَنَا وَلَكُمْ الْعَافِية
“Amani ishuke juu yenu, watu wa nyumba za waumini na waislamu. Sisi – Atakapo Allaah – tutakutana na nyinyi. Tunamuomba Allaah Atusamehe sisi na nyinyi. Namuomba Allaah Atupe sisi na nyinyi afya njema.”
- Muhusika: Shaykh-ul-Islaam Ahmad bin Taymiyyah
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Swahiyh-ul-Kalim at-Twayyib, uk. 83-84
- Imechapishwa: 21/03/2017
123- Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alikuwa akiwafunza pindi wanapofika makaburini kusema:
السَّلامُ عَلَيْكُمْ أَهْلَ الدِّيَارِ مِنَ الْمُؤْمِنِينَ وَالْمُسْلِمِين وَإِنَّا إِنْ شَاءَ اللهُ بكم لاحِقُونَ نَسْأَلُ الله لَنَا وَلَكُمْ الْعَافِية
“Amani ishuke juu yenu, watu wa nyumba za waumini na waislamu. Sisi – Atakapo Allaah – tutakutana na nyinyi. Tunamuomba Allaah Atusamehe sisi na nyinyi. Namuomba Allaah Atupe sisi na nyinyi afya njema.”
Muhusika: Shaykh-ul-Islaam Ahmad bin Taymiyyah
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Swahiyh-ul-Kalim at-Twayyib, uk. 83-84
Imechapishwa: 21/03/2017
https://firqatunnajia.com/25-duaa-ya-kutembelea-makaburi/