Swali 244: Je, inafaa kwa mtu kutoa swadaqah ya pesa na akamshirikisha mtu mwingine katika thawabu?
Jibu: Inafaa kwa mtu kutoa swadaqah ya pesa na akamnuia baba yake, mama yake, ndugu yake au muislamu mwengine. Malipo ni makubwa. Swadaqah ikiwa imetolewa kwa kumtakasia nia Allaah (Ta´ala) na linatokana na chumo la halali basi thawabu zinalipwa maradufu. Amesema (Ta´ala):
مَّثَلُ الَّذِينَ يُنفِقُونَ أَمْوَالَهُمْ فِي سَبِيلِ اللَّـهِ كَمَثَلِ حَبَّةٍ أَنبَتَتْ سَبْعَ سَنَابِلَ فِي كُلِّ سُنبُلَةٍ مِّائَةُ حَبَّةٍ ۗ وَاللَّـهُ يُضَاعِفُ لِمَن يَشَاءُ ۗ وَاللَّـهُ وَاسِعٌ عَلِيمٌ
”Mfano wa wale wanaotoa mali zao katika Njia ya Allaah ni kama mfano wa punje moja ya mbegu iliyotoa mashuke saba, katika kila shuke kuna punje mia. Allaah anamzidishia amtakaye na Allaah ni Mwenye wasaa, Mjuzi wa yote.”[1]
Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alikuwa akichinja Udhhiyah kondoo mmoja kwa ajili yake mwenyewe na watu wa nyumbani kwake.
[1] 2:261
- Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (17/249-250)
- Imechapishwa: 05/02/2026
Swali 244: Je, inafaa kwa mtu kutoa swadaqah ya pesa na akamshirikisha mtu mwingine katika thawabu?
Jibu: Inafaa kwa mtu kutoa swadaqah ya pesa na akamnuia baba yake, mama yake, ndugu yake au muislamu mwengine. Malipo ni makubwa. Swadaqah ikiwa imetolewa kwa kumtakasia nia Allaah (Ta´ala) na linatokana na chumo la halali basi thawabu zinalipwa maradufu. Amesema (Ta´ala):
مَّثَلُ الَّذِينَ يُنفِقُونَ أَمْوَالَهُمْ فِي سَبِيلِ اللَّـهِ كَمَثَلِ حَبَّةٍ أَنبَتَتْ سَبْعَ سَنَابِلَ فِي كُلِّ سُنبُلَةٍ مِّائَةُ حَبَّةٍ ۗ وَاللَّـهُ يُضَاعِفُ لِمَن يَشَاءُ ۗ وَاللَّـهُ وَاسِعٌ عَلِيمٌ
”Mfano wa wale wanaotoa mali zao katika Njia ya Allaah ni kama mfano wa punje moja ya mbegu iliyotoa mashuke saba, katika kila shuke kuna punje mia. Allaah anamzidishia amtakaye na Allaah ni Mwenye wasaa, Mjuzi wa yote.”[1]
Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alikuwa akichinja Udhhiyah kondoo mmoja kwa ajili yake mwenyewe na watu wa nyumbani kwake.
[1] 2:261
Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (17/249-250)
Imechapishwa: 05/02/2026
https://firqatunnajia.com/244-je-inafaa-kwa-mtu-kutoa-swadaqah-ya-pesa-na-akamshirikisha-mtu-mwingine-katika-thawabu/
Mshirikishe mwenzako:
- Share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Print (Opens in new window) Print
- Email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Share on X (Opens in new window) X
- Share on Pocket (Opens in new window) Pocket