Shaykh-ul-Islaam Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab (Rahimahu Allaah) amesema:
… na Mtume Wake Muhammad (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam).”
MAELEZO
Msingi wa tatu ni mtu kumjua Mtume Wake (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam). Hili linapatikana kwa mtu kusoma maisha ya Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam), ´ibaadah zake, tabia, kulingania katika dini ya Allaah (´Azza wa Jall), kupambana kwake jihaad katika njia Yake na mengineyo. Kwa ajili hii inampasa kila mtu ambaye anataka kuzidisha maarifa juu ya Mtume wake na imani yenye nguvu, basi asome historia yake kiasi atakavyoweza. Kisomo kihusiane na hali yake katika vita na usalama, kipindi chake cha matatizo na kipindi chake cha raha na hali zake zingine zote.
Tunamuomba Allaah (´Azza wa Jall) atujaalie katika wale wenye kumfuata Mtume Wake (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam), kwa ndani na kwa nje na atufishe katika hali hiyo – hakika Yeye ni muweza wa hilo.
- Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Thalaathat-il-Usuwl, uk. 45
- Imechapishwa: 20/05/2020
Shaykh-ul-Islaam Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab (Rahimahu Allaah) amesema:
… na Mtume Wake Muhammad (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam).”
MAELEZO
Msingi wa tatu ni mtu kumjua Mtume Wake (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam). Hili linapatikana kwa mtu kusoma maisha ya Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam), ´ibaadah zake, tabia, kulingania katika dini ya Allaah (´Azza wa Jall), kupambana kwake jihaad katika njia Yake na mengineyo. Kwa ajili hii inampasa kila mtu ambaye anataka kuzidisha maarifa juu ya Mtume wake na imani yenye nguvu, basi asome historia yake kiasi atakavyoweza. Kisomo kihusiane na hali yake katika vita na usalama, kipindi chake cha matatizo na kipindi chake cha raha na hali zake zingine zote.
Tunamuomba Allaah (´Azza wa Jall) atujaalie katika wale wenye kumfuata Mtume Wake (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam), kwa ndani na kwa nje na atufishe katika hali hiyo – hakika Yeye ni muweza wa hilo.
Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Thalaathat-il-Usuwl, uk. 45
Imechapishwa: 20/05/2020
https://firqatunnajia.com/24-ujuzi-wa-kumjua-mtume/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)