Swali: Mtu akiacha du´aa ya Qunuut katika swalah ya Witr kwa kusahau au kwa kukusudia – je, swalah yake inaharibika?

Jibu: Du´aa ya Qunuut imependekezwa. Kwa hivyo inafaa kuiacha. Kuileta ndio bora kuliko kuiacha. Kwa hivyo swalah yake ni sahihi.

´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz

Swaalih al-Fawzaan

´Abdul-´Aziyz Aalish-Shaykh

Bakr Abu Zayd

  • Mhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Swalaat-it-Taraawiyh, uk. 26
  • Imechapishwa: 17/04/2022