24 – Ibraahiym bin al-Hajjaaj ametuhadithia: Wuhayb ametuhadithia, kutoka kwa Ayyuub, ambaye amesema:
بلغني والله أعلم أن ملكاً موكل بكل من صلى على النبي صلى الله عليه وسلم حتى يبلغه النبي صلى الله عليه وسلم
”Nimefikiwa na khabari – na Allaah ndiye mjuzi zaidi – kuwa kuna Malaika aliyepewa kazi kwa kila anayemswalia Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam), ili iweze kumfikia Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam).”[1]
[1] Cheni ya wapokezi ya Ayyuub as-Sikhtiyaaniy ni Swahiyh. Nayo ina hukumu kinabii kwa sababu mambo kama hayo hayasemwi kutokana na maoni ya mtu. Isitoshe inatiliwa nguvu na Hadiyth ya (21).
- Muhusika: Imaam Ismaa´iyl bin Ishaaq al-Maalikiy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fadhwl-us-Swalaah ´alaan-Nabiy, uk. 38
- Imechapishwa: 08/01/2024
- Taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
24 – Ibraahiym bin al-Hajjaaj ametuhadithia: Wuhayb ametuhadithia, kutoka kwa Ayyuub, ambaye amesema:
بلغني والله أعلم أن ملكاً موكل بكل من صلى على النبي صلى الله عليه وسلم حتى يبلغه النبي صلى الله عليه وسلم
”Nimefikiwa na khabari – na Allaah ndiye mjuzi zaidi – kuwa kuna Malaika aliyepewa kazi kwa kila anayemswalia Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam), ili iweze kumfikia Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam).”[1]
[1] Cheni ya wapokezi ya Ayyuub as-Sikhtiyaaniy ni Swahiyh. Nayo ina hukumu kinabii kwa sababu mambo kama hayo hayasemwi kutokana na maoni ya mtu. Isitoshe inatiliwa nguvu na Hadiyth ya (21).
Muhusika: Imaam Ismaa´iyl bin Ishaaq al-Maalikiy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fadhwl-us-Swalaah ´alaan-Nabiy, uk. 38
Imechapishwa: 08/01/2024
Taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
https://firqatunnajia.com/24-hadiyth-nimefikiwa-na-khabari-kuwa-kuna-malaika/