5 – Mzee mkubwa aliyezeeka ambaye hawezi kufunga huyu hula na hulisha chakula cha kumlisha masikini mmoja kwa kila siku na wala hana kulipa swawm. Hii ni iwapo akili yake bado ipo. Ama ikiwa hana tena akili wala utambuzi, basi hakuna chochote kinachomlazimu.

  • Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Ithaaf Ahl-il-Iymaan bi Duruus Shahri Ramadhwaan, uk. 27
  • Imechapishwa: 15/02/2026