148 – ´Uqbah bin Mukram ametukhabarisha: ´Abdullaah bin Yaziyd ametukhabarisha, kutoka kwa Haywah bin Shurayh: Shurahbiyl bin Shariyk al-Mu´aafariy ametukhabarisha kwamba amemsikia Abu ´Abdir-Rahmaan al-Hubliy amesimulia kutoka kwa ´Abdullaah bin ´Amr, kutoka kwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam), ambaye amesema:
“Dunia yote ni starehe, na bora ya starehe ya dunia ni mwanamke mwema.”[1]
[1] Muslim (1467).
- Muhusika: Imaam Abu Bakr Ahmad bin Abiy ´Aaswim ash-Shaybaaniy (a.f.k. 287)
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Kitaab-uz-Zuhd, uk. 36
- Imechapishwa: 02/07/2025
148 – ´Uqbah bin Mukram ametukhabarisha: ´Abdullaah bin Yaziyd ametukhabarisha, kutoka kwa Haywah bin Shurayh: Shurahbiyl bin Shariyk al-Mu´aafariy ametukhabarisha kwamba amemsikia Abu ´Abdir-Rahmaan al-Hubliy amesimulia kutoka kwa ´Abdullaah bin ´Amr, kutoka kwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam), ambaye amesema:
“Dunia yote ni starehe, na bora ya starehe ya dunia ni mwanamke mwema.”[1]
[1] Muslim (1467).
Muhusika: Imaam Abu Bakr Ahmad bin Abiy ´Aaswim ash-Shaybaaniy (a.f.k. 287)
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Kitaab-uz-Zuhd, uk. 36
Imechapishwa: 02/07/2025
https://firqatunnajia.com/23-dunia-ni-starehe/