Kutumia Siwaak ni kitu kisichoathiri funga. Bali ni kitu kilichopendekezwa na kukokotezwa kwa mfungaji na mwengine mwanzoni na mwishoni mwa mchana kwa mujibu wa maoni sahihi.

Endapo vumbi au nzi ataruka na kuingia kooni mwake hakutoathiri funga yake.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: al-Mulakhasw al-Fiqh (01/385)
  • Imechapishwa: 05/04/2021