22. Mwenye maradhi sugu anaruhusiwa kutofunga Ramadhaan

4 – Mgonjwa mwenye ugonjwa wa kudumu usiotarajiwa kupona na ambaye anashindwa kufunga kwa kushindwa kunakoendelea. Huyu hula na hutoa chakula cha kumlisha chakula masikini mmoja kwa kila siku iliyompita, kiasi cha nusu pishi ya nafaka kama ngano au mfano wake, wala hana kulipa swawm.

  • Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Ithaaf Ahl-il-Iymaan bi Duruus Shahri Ramadhwaan, uk. 27
  • Imechapishwa: 14/02/2026