147 – Ibraahiym bin al-Mundhir al-Hizaamiy ametukhabarisha: Muhammad bin Twalhah ametukhabarisha: al-Munkadir bin Muhammad ametukhabarisha, kutoka kwa baba yake, kutoka kwa Jaabir, ambaye amesimulia kwamba Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Hakukubakia katika ulimwengu isipokuwa mtihani unaosubiriwa au kila mwenye huzuni.”
- Muhusika: Imaam Abu Bakr Ahmad bin Abiy ´Aaswim ash-Shaybaaniy (a.f.k. 287)
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Kitaab-uz-Zuhd, uk. 35-36
- Imechapishwa: 02/07/2025
147 – Ibraahiym bin al-Mundhir al-Hizaamiy ametukhabarisha: Muhammad bin Twalhah ametukhabarisha: al-Munkadir bin Muhammad ametukhabarisha, kutoka kwa baba yake, kutoka kwa Jaabir, ambaye amesimulia kwamba Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Hakukubakia katika ulimwengu isipokuwa mtihani unaosubiriwa au kila mwenye huzuni.”
Muhusika: Imaam Abu Bakr Ahmad bin Abiy ´Aaswim ash-Shaybaaniy (a.f.k. 287)
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Kitaab-uz-Zuhd, uk. 35-36
Imechapishwa: 02/07/2025
https://firqatunnajia.com/22-mtihani-tu-na-mahuzuniko/