43 – Muhammad bin ´Abdillaah bin Abiy Rajaa’ ametukhabarisha: Muusa bin Haaruun ametuhadithia: Qutaybah bin Sa´iyd ametuhadithia … (ح) Muhammad bin Ya´quub ametuhadithia huko Neyshabur: Muhammad bin Nu´aym ametuhadithia: Qutaybah ametuhadithia: al-Layth bin Sa´d ametuhadithia, kutoka kwa Sa´iyd al-Maqburiy, kutoka kwa Sa´iyd bin Yasaar, kutoka kwa Abu Hurayrah, aliyesimulia kuwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
”Hakuna yeyote anayetoa swadaqah isipokuwa Mwingi wa rehema (´Azza wa Jall) hukipokea kwa mkono Wake wa kuume na anailea kama anavyolea mmoja wenu kitekli chake.”[1]
Masimulizi haya yamethibiti kwa maafikiano. Hadiyth imepokelewa kupitia njia nyingi kutoka kwa Abu Hurayrah, ikiwa ni pamoja vilevile na Abu Swaalih as-Sammaan na Sa´iyd al-Maqburiy.
[1] al-Bukhaariy (7430) na Muslim (702).
- Muhusika: Imaam Muhammad bin Ishaaq bin Mandah (afk. 395)
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: ar-Radd ´alaal-Jahmiyyah, uk. 72-73
- Imechapishwa: 16/06/2026
- Taaliki: ´Allaamah ´Aliy bin Naaswir al-Faqiyhiy
43 – Muhammad bin ´Abdillaah bin Abiy Rajaa’ ametukhabarisha: Muusa bin Haaruun ametuhadithia: Qutaybah bin Sa´iyd ametuhadithia … (ح) Muhammad bin Ya´quub ametuhadithia huko Neyshabur: Muhammad bin Nu´aym ametuhadithia: Qutaybah ametuhadithia: al-Layth bin Sa´d ametuhadithia, kutoka kwa Sa´iyd al-Maqburiy, kutoka kwa Sa´iyd bin Yasaar, kutoka kwa Abu Hurayrah, aliyesimulia kuwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
”Hakuna yeyote anayetoa swadaqah isipokuwa Mwingi wa rehema (´Azza wa Jall) hukipokea kwa mkono Wake wa kuume na anailea kama anavyolea mmoja wenu kitekli chake.”[1]
Masimulizi haya yamethibiti kwa maafikiano. Hadiyth imepokelewa kupitia njia nyingi kutoka kwa Abu Hurayrah, ikiwa ni pamoja vilevile na Abu Swaalih as-Sammaan na Sa´iyd al-Maqburiy.
[1] al-Bukhaariy (7430) na Muslim (702).
Muhusika: Imaam Muhammad bin Ishaaq bin Mandah (afk. 395)
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: ar-Radd ´alaal-Jahmiyyah, uk. 72-73
Imechapishwa: 16/06/2026
Taaliki: ´Allaamah ´Aliy bin Naaswir al-Faqiyhiy
https://firqatunnajia.com/21-yanayotokea-wakati-unapotoa-swadaqah/