05 – Viatu vyenye kisigino kirefu
Miongoni mwa makosa yanayoenda kinyume na Shari´ah ni kuvaa viatu vyenye kisigino kirefu, jambo ambalo halijuzu. Kufanya hivo ni katika kuonyesha mapambo, jambo ambalo Allaah amelikataza pale aliposema:
وَلَا تَبَرَّجْنَ تَبَرُّجَ الْجَاهِلِيَّةِ الْأُولَىٰ
“… na wala msijishauwe mshauwo wa wanawake majahili wa awali.”[1]
Bali wanazuoni wamesema kuwa ikiwa viatu hivyo vitakuwa na sauti basi ni haramu zaidi kuliko hata vikuku.
[1] 33:33
- Muhusika: Dr. ´Abdul-´Aziyz bin Daawuud al-Faaiz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Tawjiyhaat wa Tanbiyhaat lil-Fataati al-Muslimah, uk. 27
- Imechapishwa: 17/02/2026
05 – Viatu vyenye kisigino kirefu
Miongoni mwa makosa yanayoenda kinyume na Shari´ah ni kuvaa viatu vyenye kisigino kirefu, jambo ambalo halijuzu. Kufanya hivo ni katika kuonyesha mapambo, jambo ambalo Allaah amelikataza pale aliposema:
وَلَا تَبَرَّجْنَ تَبَرُّجَ الْجَاهِلِيَّةِ الْأُولَىٰ
“… na wala msijishauwe mshauwo wa wanawake majahili wa awali.”[1]
Bali wanazuoni wamesema kuwa ikiwa viatu hivyo vitakuwa na sauti basi ni haramu zaidi kuliko hata vikuku.
[1] 33:33
Muhusika: Dr. ´Abdul-´Aziyz bin Daawuud al-Faaiz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Tawjiyhaat wa Tanbiyhaat lil-Fataati al-Muslimah, uk. 27
Imechapishwa: 17/02/2026
https://firqatunnajia.com/21-viatu-vyenye-kisigino-kirefu/