146 – ´Abdul-Wahhaab bin Najdah ametuhadithia: al-Waliyd bin Muslim ametukhabarisha, kutoka kwa ´Abdur-Rahmaan bin Yaziyd bin Jaabir, kutoka kwa Abiy ´Abdi Rabb az-Zaahid, kutoka kwa Mu´aawiyah, kutoka kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam), ambaye amesema:

“Hakukubakia katika ulimwengu isipokuwa mtihani na jaribio.”[1]

[1] Swahiyh kwa mujibu wa al-Albaaniy katika “Swahiyh Sunan Ibn Maajah” (3276.)

  • Muhusika: Imaam Abu Bakr Ahmad bin Abiy ´Aaswim ash-Shaybaaniy (a.f.k. 287)
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Kitaab-uz-Zuhd, uk. 35
  • Imechapishwa: 02/07/2025