Inampasa kikao chake kiwe kipana ili wanaokaa humo wapate nafa. Abu Sa´iyd al-Khudriy (Radhiya Allaahu ´anh) ameeleza ya kwamba Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Vikao bora zaidi ni vile vilivyo vipana.”
Ameipokea Abu Daawuud katika ”as-Sunan” yake kwa cheni ya wapokezi Swahiyh.
- Muhusika: Imaam Yahyaa bin Sharaf an-Nawawiy (afk. 677)
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tibyaan fiy Aadaabi Hamalat-il-Qur-aan, uk. 33
- Imechapishwa: 26/08/2026
Inampasa kikao chake kiwe kipana ili wanaokaa humo wapate nafa. Abu Sa´iyd al-Khudriy (Radhiya Allaahu ´anh) ameeleza ya kwamba Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Vikao bora zaidi ni vile vilivyo vipana.”
Ameipokea Abu Daawuud katika ”as-Sunan” yake kwa cheni ya wapokezi Swahiyh.
Muhusika: Imaam Yahyaa bin Sharaf an-Nawawiy (afk. 677)
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: at-Tibyaan fiy Aadaabi Hamalat-il-Qur-aan, uk. 33
Imechapishwa: 26/08/2026
https://firqatunnajia.com/21-kikao-kipana-cha-mwalimu/