142 – Ibn Kaasib ametukhabarisha: Ibn Abiy Haazim ametukhabarisha, kutoka kwa al-´Alaa’ bin ´Abdir-Rahmaan, kutoka kwa baba yake, kutoka kwa Abu Hurayrah, ambaye amesimulia kuwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
”Dunia ni jela ya muumini na Pepo ya kafiri.”[1]
143 – Ibraahiym bin al-Mundhir al-Hizaamiy ametukhabarisha: ´Abdur-Rahmaan bin al-Mughiyrah ametukhabarisha, kutoka kwa ´Abdur-Rahmaan bin Abiyz-Zinaad, kutoka kwa Muusa bin ´Uqbah, kutoka kwa ´Abdullaah bin Diynaar, kutoka kwa Ibn ´Umar, kutoka kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam), ambaye amesema:
”Dunia ni jela ya muumini na Pepo ya kafiri.”
144 – Husayn bin Hasan al-Marwaziy ametukhabarisha: Ibn-ul-Mubaarak ametukhabarisha, kutoka kwa Yahyaa bin Ayyuub, kutoka kwa ´Abdullaah bin Junaadah, kutoka kwa Abu ´Abdir-Rahmaan, kutoka kwa ´Abdullaah bin ´Amr, kutoka kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam), ambaye amesema:
”Dunia ni jela ya muumini.” [2]
145 – Hudbah bin Khaalid ametukhabarisha: Hammaam ametukhabarisha, kutoka kwa Qataadah, kutoka kwa Abul-Jawzaa’, kutoka kwa Abu Hurayrah, kutoka kwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam), ambaye amesema:
“Muumini anapotaka kukata roho… Watasema: “Mwacheni; alikuwa katika misukosuko ya maisha ya duniani.”[3]
[1] Muslim (2956).
[2] Dhaifu kwa mujibu wa al-Albaaniy katika “Dhwa´iyf-ul-Jaamiy´” (3015).
[3] an-Nasaa’iy (1833). Swahiyh kwa mujibu wa al-Albaaniy katika “Swahiyh-ul-Jaamiy´” (490).
- Muhusika: Imaam Abu Bakr Ahmad bin Abiy ´Aaswim ash-Shaybaaniy (a.f.k. 287)
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Kitaab-uz-Zuhd, uk. 34-35
- Imechapishwa: 02/07/2025
142 – Ibn Kaasib ametukhabarisha: Ibn Abiy Haazim ametukhabarisha, kutoka kwa al-´Alaa’ bin ´Abdir-Rahmaan, kutoka kwa baba yake, kutoka kwa Abu Hurayrah, ambaye amesimulia kuwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
”Dunia ni jela ya muumini na Pepo ya kafiri.”[1]
143 – Ibraahiym bin al-Mundhir al-Hizaamiy ametukhabarisha: ´Abdur-Rahmaan bin al-Mughiyrah ametukhabarisha, kutoka kwa ´Abdur-Rahmaan bin Abiyz-Zinaad, kutoka kwa Muusa bin ´Uqbah, kutoka kwa ´Abdullaah bin Diynaar, kutoka kwa Ibn ´Umar, kutoka kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam), ambaye amesema:
”Dunia ni jela ya muumini na Pepo ya kafiri.”
144 – Husayn bin Hasan al-Marwaziy ametukhabarisha: Ibn-ul-Mubaarak ametukhabarisha, kutoka kwa Yahyaa bin Ayyuub, kutoka kwa ´Abdullaah bin Junaadah, kutoka kwa Abu ´Abdir-Rahmaan, kutoka kwa ´Abdullaah bin ´Amr, kutoka kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam), ambaye amesema:
”Dunia ni jela ya muumini.” [2]
145 – Hudbah bin Khaalid ametukhabarisha: Hammaam ametukhabarisha, kutoka kwa Qataadah, kutoka kwa Abul-Jawzaa’, kutoka kwa Abu Hurayrah, kutoka kwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam), ambaye amesema:
“Muumini anapotaka kukata roho… Watasema: “Mwacheni; alikuwa katika misukosuko ya maisha ya duniani.”[3]
[1] Muslim (2956).
[2] Dhaifu kwa mujibu wa al-Albaaniy katika “Dhwa´iyf-ul-Jaamiy´” (3015).
[3] an-Nasaa’iy (1833). Swahiyh kwa mujibu wa al-Albaaniy katika “Swahiyh-ul-Jaamiy´” (490).
Muhusika: Imaam Abu Bakr Ahmad bin Abiy ´Aaswim ash-Shaybaaniy (a.f.k. 287)
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Kitaab-uz-Zuhd, uk. 34-35
Imechapishwa: 02/07/2025
https://firqatunnajia.com/20-ulimwengu-jela-ya-muumini/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket