20. Ni ipi hukumu mfungaji kubusu?

Swali 20: Ni ipi hukumu ya mfungaji kubusu?

Jibu: Mabusu ya mzee ambaye matamanio yake ni dhaifu hayaathiri maadamu hayamsababishii kushukwa. Na ikiwa atashukwa basi ni kidogo tu. Lakini kijana anayeshukwa kwa kubusu na huenda akaenda mbali kuliko hivo ni wajibu kwake asifanye hivo.

  • Mhusika: ´Allaamah Ahmad bin Yahyaa an-Najmiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaas-Swiyaam, uk. 36
  • Imechapishwa: 12/06/2017