20. Kukiri Tawhiyd-ur-Rubuubiyyah hakumuingizi mtu katika Uislamu

na umejua kuwa kukubali kwao Tawhiyd-ur-Rubuubiyyah hakukuwaingiza katika Uislamu

MAELEZO

Bi maana ilipokuwa kule kukubali kwao Tawhiyd-ur-Rubuubiyyah ambayo Allaah (Subhaanah) amesema juu yao hakukuwaingiza katika Uislamu ni jambo linalothibitisha ya kwamba Tawhiyd inayotakikana sio Tawhiyd-ur-Rubuubiyyah. Bali ni Tawhiyd-ul-Uluuhiyyah na ndio inayotenganisha kati ya muislamu na kafiri. Tawhiyd-ur-Rubuubiyyah inakubaliwa na wote muislamu na kafiri na haisaidii kitu peke yake.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Kashf-ish-Shubuhaat, uk. 34
  • Imechapishwa: 04/11/2016