137 – Abu Salamah Yahyaa bin Khalaf ametukhabarisha: Ibn Abiy ´Adiy ametukhabarisha, kutoka kwa Shu´bah, kutoka kwa Ya´laa bin ´Atwaa’, kutoka kwa baba yake, kutoka kwa ´Abdullaah bin ´Amr, kutoka kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam), ambaye amesema:
“Kuondoka kwa ulimwengu ni jambo jepesi rahisi zaidi mbele ya Allaah kuliko kumuua muumini.”[1]
138 – Hishaam bin ´Ammaar ametuhadithia: al-Waliyd bin Muslim ametukhabarisha, Rawh bin Janaah ametukhabarisha, kutoka kwa Abul-Jahm, kutoka kwa al-Baraa’, ambaye ameeleza kuwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Kuondoka kwa ulimwengu ni jambo jepesi zaidi mbele ya Allaah kuliko damu inayomwagwa pasi na haki.”[2]
139 – Muhammad bin Idriys ametukhabarisha: Khaalid bin Khidaash ametukhabarisha: Haatim bin Ismaa´iyl ametukhabarisha: Bashiyr bin Muhaajir ametukhabarisha, kutoka kwa ´Abdullaah bin Buraydah, kutoka kwa baba yake, ambaye amesimulia kuwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Kumuua muumini ni jambo kubwa zaidi mbele ya Allaah kuliko kuondoka kwa ulimwengu.”[3]
140 – Abu Ayyuub Sulaymaan bin ´Amr ar-Raqqiy ametukhabarisha: Muhammad bin Salamah ametukhabarisha, kutoka kwa Muhammad bin Ishaaq, kutoka kwa Ibraahiym bin Muhaajir, kutoka kwa Ismaa´iyl, mtumwa wa ´Abdullaah bin ´Amr bin al-´Aasw, kutoka kwa ´Abdullaah bin ´Amr bin al-´Aasw, ambaye ameeleza kuwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Kumuua muumini ni jambo kubwa zaidi mbele ya Allaah kuliko kuondoka kwa ulimwengu.”
141 – Abu Mas´uud ametukhabarisha: Muhammad bin Bukayr ametukhabarisha: Marwaan bin Mu´aawiyah ametukhabarisha, kutoka kwa Yaziyd bin Abiy Ziyaad ash-Shaamiy, kutoka kwa az-Zuhriy, kutoka kwa Sa´iyd bin al-Musayyab, kutoka kwa Abu Hurayrah, kutoka kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam), ambaye amesema:
“Naapa kwa yule Ambaye nafsi ya Muhammad i mikononi Mwake! “Kuteketea kwa ulimwengu ni jambo jepesi zaidi mbele ya Allaah kuliko damu inayomwagwa pasi na haki.”
Abu Bakr bin Abiy ´Aaswim ametukhabarisha namna hii na akasema: Abu Mas’uud ametukhabarisha. Amekosea; alikuwa ni Yaziyd bin Ziyaad ash-Shaamiy. Alikuwa [tupu].
[1] at-Tirmidhiy (1395) na an-Nasaa’iy (3987). Swahiyh kwa mujibu wa al-Albaaniy katika “Swahiyh-ul-Jaamiy´” (9208).
[2] Swahiyh kupitia zingine kwa mujibu wa al-Albaaniy katika “Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb” (2437).
[3] an-Nasaa’iy (3990). Swahiyh kwa mujibu wa al-Albaaniy katika “Swahiyh-ul-Jaamiy´” (4361).
- Muhusika: Imaam Abu Bakr Ahmad bin Abiy ´Aaswim ash-Shaybaaniy (a.f.k. 287)
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Kitaab-uz-Zuhd, uk. 32-34
- Imechapishwa: 01/07/2025

Muhusika: Imaam Abu Bakr Ahmad bin Abiy ´Aaswim ash-Shaybaaniy (a.f.k. 287)
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Kitaab-uz-Zuhd, uk. 32-34
Imechapishwa: 01/07/2025
https://firqatunnajia.com/19-kumuua-muumini-ni-jambo-kubwa-zaidi/