18. Ni ipi hukumu ya kumtia manukato maiti na kumvika sanda?

Swali 18: Ni ipi hukumu ya kumtia manukato maiti na kumvika sanda[1]?

Jibu: Kumtia manukato maiti na kumvika sanda ni jambo limependekezwa akiwa sio Muhrim.

[1] Majmuu´-ul-Fataawaa (13/115).

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Ahkaam-ul-Janaa-iz, uk. 21
  • Imechapishwa: 26/12/2021