Abu Daawuud (2/248) amesema: al-Hasan bin ´Aliy ametuhadithia: Swaalih bin Rustum Abu ´Aamir ametuhadithia, kutoka kwa ´Abdur-Rahmaan bin Qays[1], kutoka kwa Yuusuf bin Maahik, Abu Hurayrah (Radhiya Allaahu ´anh), ambaye ameeleza kuwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
”Mmoja wenu akiswali, basi asiviweke viatu vyake upande wa kuliani wala upande wa kushotoni mwake, ili visende upande wa kulia wa mwengine, isipokuwa ikiwa hakuna yeyote upande wa kushotoni mwwake. Aviweke kati ya miguu yake.”[2]
Hadiyth ameipokea pia Ibn Hibbaan, uk. 107 katika “Mawaarid-udh-Dhwamaan”, al-Haakim, ambaye “Hadiyth ni Swahiyh kwa mujibu wa sharti ya al-Bukhaariy na Muslim. Hakuna yeyote kati ya wawili hao ambaye ameipokea”[3] na al-Bayhaqiy (2/432).
[1] ´Abdur-Rahmaan bin Qays al-´Atakiy. Alikuwa mwenye kuaminika kwa mujibu wa Ibn Hibbaan. al-Mundhiriy amesema katika “Mukhtaswar-us-Sunan”:
“Anatakiwa kuwa az-Za’faraaniy, ambavyo sivyo. az-Za’faraaniy alikuwa mdogo sana kuweza kukutana na Yuusuf bin Maahik. Isitoshe Ibn Hibbaan amemtaja, wakati az-Zafaraaniy ni dhaifu katika Hadiyth.”
Han förmodas vara az-Za´farânî, vilket han inte är. az-Za´farânî var för ung för att uppleva Yûsuf bin Mâhik. Dessutom nämnde Ibn Hibbân honom, medan az-Za´farânî är svag i hadith.”
[2] Abu Daawuud (654). Nzuri na Swahiyh kwa mujibu wa al-Albaaniy katika “Swahiyh Sunan Abiy Daawuud” (654).
[3] al-Mustadrak (1/259).
- Muhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: as-Swalaah fiyn-Ni´aal, uk. 19
- Imechapishwa: 16/06/2025
Abu Daawuud (2/248) amesema: al-Hasan bin ´Aliy ametuhadithia: Swaalih bin Rustum Abu ´Aamir ametuhadithia, kutoka kwa ´Abdur-Rahmaan bin Qays[1], kutoka kwa Yuusuf bin Maahik, Abu Hurayrah (Radhiya Allaahu ´anh), ambaye ameeleza kuwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
”Mmoja wenu akiswali, basi asiviweke viatu vyake upande wa kuliani wala upande wa kushotoni mwake, ili visende upande wa kulia wa mwengine, isipokuwa ikiwa hakuna yeyote upande wa kushotoni mwwake. Aviweke kati ya miguu yake.”[2]
Hadiyth ameipokea pia Ibn Hibbaan, uk. 107 katika “Mawaarid-udh-Dhwamaan”, al-Haakim, ambaye “Hadiyth ni Swahiyh kwa mujibu wa sharti ya al-Bukhaariy na Muslim. Hakuna yeyote kati ya wawili hao ambaye ameipokea”[3] na al-Bayhaqiy (2/432).
[1] ´Abdur-Rahmaan bin Qays al-´Atakiy. Alikuwa mwenye kuaminika kwa mujibu wa Ibn Hibbaan. al-Mundhiriy amesema katika “Mukhtaswar-us-Sunan”:
“Anatakiwa kuwa az-Za’faraaniy, ambavyo sivyo. az-Za’faraaniy alikuwa mdogo sana kuweza kukutana na Yuusuf bin Maahik. Isitoshe Ibn Hibbaan amemtaja, wakati az-Zafaraaniy ni dhaifu katika Hadiyth.”
Han förmodas vara az-Za´farânî, vilket han inte är. az-Za´farânî var för ung för att uppleva Yûsuf bin Mâhik. Dessutom nämnde Ibn Hibbân honom, medan az-Za´farânî är svag i hadith.”
[2] Abu Daawuud (654). Nzuri na Swahiyh kwa mujibu wa al-Albaaniy katika “Swahiyh Sunan Abiy Daawuud” (654).
[3] al-Mustadrak (1/259).
Muhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: as-Swalaah fiyn-Ni´aal, uk. 19
Imechapishwa: 16/06/2025
https://firqatunnajia.com/18-hadiyth-mmoja-wenu-akiswali-2/