18- Muhammad bin Sahl bin al-Fhudhwayl ametuhadithia: ´Umar bin Shabbah ametuhadithia: Swafwaan bin ´Iysaa ametuhadithia: Muhammad bin ´Ajlaan ametuhadithia, kutoka kwa baba yake, kutoka kwa Abu Hurayrah ambaye ameeleza kuwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Pindi Allaah (´Azza wa Jall) alipoumba viumbe akajifaradhishia Mwenyewe kuandika kwa mkono Wake wa kuume: “Huruma yangu inashinda ghadhabu Zangu.”
- Mhusika: Imaam ´Aliy bin ´Umar ad-Daaraqutwniy
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Kitaab-us-Swifaat, uk. 53-54
- Imechapishwa: 05/11/2017
18- Muhammad bin Sahl bin al-Fhudhwayl ametuhadithia: ´Umar bin Shabbah ametuhadithia: Swafwaan bin ´Iysaa ametuhadithia: Muhammad bin ´Ajlaan ametuhadithia, kutoka kwa baba yake, kutoka kwa Abu Hurayrah ambaye ameeleza kuwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Pindi Allaah (´Azza wa Jall) alipoumba viumbe akajifaradhishia Mwenyewe kuandika kwa mkono Wake wa kuume: “Huruma yangu inashinda ghadhabu Zangu.”
Mhusika: Imaam ´Aliy bin ´Umar ad-Daaraqutwniy
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Kitaab-us-Swifaat, uk. 53-54
Imechapishwa: 05/11/2017
https://firqatunnajia.com/18-dalili-juu-ya-mkono-wa-allaah-4/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)