126 – ´Aliy bin Maymuun ar-Raqqiy ametuhadithia: Abi Khulayd ´Utbah bin Hammaad ametukhabarisha: Ibn Thawbaan ametukhabarisha, kutoka kwa ´Atwaa’ bin Qurrah, kutoka kwa ´Abdullaah bin Dhwamrah, kutoka kwa Abu Hurayrah, ambaye amesimulia kuwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Dunia imelaaniwa na kila kilichomo ndani yake kimelaaniwa isipokuwa utajo wa Allaah, yanayohusiana nayo, mwanachuoni au mwenye kujifunza.”[1]
127 – Muhammad bin ´Awf ametukhabarisha: Muusa bin Ayyuub an-Naswiybiy ametukhabarisha: Khidaash bin Muhaajir ametukhabarisha, kutoka kwa Ibn Jaabir, kutoka kwa Abu ´Ubaydillaah Muslim bin Mishkam, kutoka kwa Abud-Dardaa’, ambaye amesimulia kuwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Dunia imelaaniwa na kimelaaniwa yale yaliyomo isipokuwa yale ambayo yamefanywa kwa ajili ya kutafuta uso wa Allaah.”[2]
[1] at-Tirmidhiy (2322) na Ibn Maajah (4112). Nzuri kwa mujibu wa al-Albaaniy katika “Swahiyh-ul-Jaamiy´” (1609).
[2] Dhaifu kwa mujibu wa al-Albaaniy katika “Dhwa´iyf-ul-Jaamiy´” (3018).
- Muhusika: Imaam Abu Bakr Ahmad bin Abiy ´Aaswim ash-Shaybaaniy (a.f.k. 287)
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Kitaab-uz-Zuhd, uk. 30
- Imechapishwa: 01/07/2025
126 – ´Aliy bin Maymuun ar-Raqqiy ametuhadithia: Abi Khulayd ´Utbah bin Hammaad ametukhabarisha: Ibn Thawbaan ametukhabarisha, kutoka kwa ´Atwaa’ bin Qurrah, kutoka kwa ´Abdullaah bin Dhwamrah, kutoka kwa Abu Hurayrah, ambaye amesimulia kuwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Dunia imelaaniwa na kila kilichomo ndani yake kimelaaniwa isipokuwa utajo wa Allaah, yanayohusiana nayo, mwanachuoni au mwenye kujifunza.”[1]
127 – Muhammad bin ´Awf ametukhabarisha: Muusa bin Ayyuub an-Naswiybiy ametukhabarisha: Khidaash bin Muhaajir ametukhabarisha, kutoka kwa Ibn Jaabir, kutoka kwa Abu ´Ubaydillaah Muslim bin Mishkam, kutoka kwa Abud-Dardaa’, ambaye amesimulia kuwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Dunia imelaaniwa na kimelaaniwa yale yaliyomo isipokuwa yale ambayo yamefanywa kwa ajili ya kutafuta uso wa Allaah.”[2]
[1] at-Tirmidhiy (2322) na Ibn Maajah (4112). Nzuri kwa mujibu wa al-Albaaniy katika “Swahiyh-ul-Jaamiy´” (1609).
[2] Dhaifu kwa mujibu wa al-Albaaniy katika “Dhwa´iyf-ul-Jaamiy´” (3018).
Muhusika: Imaam Abu Bakr Ahmad bin Abiy ´Aaswim ash-Shaybaaniy (a.f.k. 287)
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Kitaab-uz-Zuhd, uk. 30
Imechapishwa: 01/07/2025
https://firqatunnajia.com/16-ulimwengu-uliolaaniwa/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket