Swali 158: Ni ipi hukumu ya maneno yao:

يَا أَيَّتُهَا النَّفْسُ الْمُطْمَئِنَّةُ

“Ee nafsi iliyotua!”[1]?

Jibu: Hili ni kosa. Kipi kimewajuza jambo hilo? Kilichosuniwa ni kumwombea du´aa ya msamaha na rehema na itatosha kufanya hivo.

[1] 89:27-30

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Ahkaam-ul-Janaa-iz, uk. 116
  • Imechapishwa: 06/02/2022