Shaykh-ul-Islaam Ibn Taymiyyah amesema:
Watu hawa wanadhani kuwa wanafuata maneno Yake Allaah (Ta´ala):
وَمَا يَعْلَمُ تَأْوِيلَهُ إِلَّا اللَّـهُ
“… na hakuna ajuae uhakika Wake isipokuwa Allaah.”[1]
Ukweli wa mambo ni kuwa Salaf wengi walisimama katika maneno Yake:
وَمَا يَعْلَمُ تَأْوِيلَهُ إِلاَّ اللّهُ وَالرَّاسِخُونَ فِي الْعِلْمِ
“… na hakuna ajuaye tafsiri zake isipokuwa Allaah na wale wenye msingi madhubuti katika elimu.”[2]
Ni kisimamo sahihi, lakini watu hawa hawakutofautisha kati ya maana ya maneno na tafsiri yake na kati ya utambuzi wa tafsiri yake ya ndani ambayo Allaah (Ta´ala) pekee ndiye amepwekeka kuijua. Wamekosea pindi walipofikiria kuwa (التأويل) iliyotajwa katika maneno ya Allaah ndio hiyohiyo iliyotumiwa na wale waliokuja nyuma.
MAELEZO
Walidhani kwamba tafsiri (التأويل) ambayo haijulikani isipokuwa na Allaah ndio maana za maandiko haya, ilihali tafsiri ina maana nyingine tofauti, kama atakavyoeleza mtunzi wa kitabu.
[1] 3:7
[2] 3:7
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Ta´liyqaat at-Tawdhwiyhiyyah ´alaa Muqaddimat-il-Fatwaa al-Hamawiyyah, uk. 257-258
- Imechapishwa: 23/07/2026
Shaykh-ul-Islaam Ibn Taymiyyah amesema:
Watu hawa wanadhani kuwa wanafuata maneno Yake Allaah (Ta´ala):
وَمَا يَعْلَمُ تَأْوِيلَهُ إِلَّا اللَّـهُ
“… na hakuna ajuae uhakika Wake isipokuwa Allaah.”[1]
Ukweli wa mambo ni kuwa Salaf wengi walisimama katika maneno Yake:
وَمَا يَعْلَمُ تَأْوِيلَهُ إِلاَّ اللّهُ وَالرَّاسِخُونَ فِي الْعِلْمِ
“… na hakuna ajuaye tafsiri zake isipokuwa Allaah na wale wenye msingi madhubuti katika elimu.”[2]
Ni kisimamo sahihi, lakini watu hawa hawakutofautisha kati ya maana ya maneno na tafsiri yake na kati ya utambuzi wa tafsiri yake ya ndani ambayo Allaah (Ta´ala) pekee ndiye amepwekeka kuijua. Wamekosea pindi walipofikiria kuwa (التأويل) iliyotajwa katika maneno ya Allaah ndio hiyohiyo iliyotumiwa na wale waliokuja nyuma.
MAELEZO
Walidhani kwamba tafsiri (التأويل) ambayo haijulikani isipokuwa na Allaah ndio maana za maandiko haya, ilihali tafsiri ina maana nyingine tofauti, kama atakavyoeleza mtunzi wa kitabu.
[1] 3:7
[2] 3:7
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: at-Ta´liyqaat at-Tawdhwiyhiyyah ´alaa Muqaddimat-il-Fatwaa al-Hamawiyyah, uk. 257-258
Imechapishwa: 23/07/2026
https://firqatunnajia.com/157-ufahamu-wa-kimakosa-wa-mufawwidhwah/