al-Qummiy amesema:
“Amesema:
إِنَّمَا الْمُؤْمِنُونَ الَّذِينَ إِذَا ذُكِرَ اللَّـهُ وَجِلَتْ قُلُوبُهُمْ وَإِذَا تُلِيَتْ عَلَيْهِمْ آيَاتُهُ زَادَتْهُمْ إِيمَانًا وَعَلَىٰ رَبِّهِمْ يَتَوَكَّلُونَ الَّذِينَ يُقِيمُونَ الصَّلَاةَ وَمِمَّا رَزَقْنَاهُمْ يُنفِقُونَ أُولَـٰئِكَ هُمُ الْمُؤْمِنُونَ حَقًّا
“Hakika si venginevyo waumini ni wale ambao anapotajwa Allaah, basi nyoyo zao zinajaa khofu na wanaposomewa Aayah Zake huwazidishia imani na kwa Mola wao wanategemea; ambao wanasimamisha swalah na hutoa sehemu katika yale tuliyowaruzuku. Hao ndio Waumini wa kweli! Wana ngazi [za juu] kwa Mola wao na msamaha na riziki tukufu.”[1]
Aayah hii iliteremshwa juu ya viongozi wa waumini, Abu Dharr na Salmaan.”[2]
Hakutoa uthibitisho wa madai haya kutoka kwa imamu yeyote. Wala hakutaja mnyororo wa wapokezi. Basi amepata wapi haki ya kuhusisha Aayah hii tukufu, inayowahusu Mitume, wakweli, waja wema na mashahidi, kwa ´Aliy na watu watatu tu? Hivi ndivyo wanavyodai kwa matamanio yao, wakihodhi Pepo ili kuwatoa Maswahabah wa Muhammad (Swalla Allaahu ´alayhi sallam) ambao wanahusika moja kwa moja na Aayah hii kwa haki baada ya Mitume. Ole wao na mbali kabisa na njia ya haki, akili zao zenye kasoro, mbinu zao potovu na imani zao zilizojaa ufisadi!
[1] 8:2-4
[2] Tafsiyr al-Qummiy (1/255).
- Muhusika: ´Allaamah Rabiy´ bin Haadiy al-Madkhaliy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: al-Intiswaar li Kitaab-il-´Aziyz al-Jabbaar, uk. 216
- Imechapishwa: 18/02/2025
al-Qummiy amesema:
“Amesema:
إِنَّمَا الْمُؤْمِنُونَ الَّذِينَ إِذَا ذُكِرَ اللَّـهُ وَجِلَتْ قُلُوبُهُمْ وَإِذَا تُلِيَتْ عَلَيْهِمْ آيَاتُهُ زَادَتْهُمْ إِيمَانًا وَعَلَىٰ رَبِّهِمْ يَتَوَكَّلُونَ الَّذِينَ يُقِيمُونَ الصَّلَاةَ وَمِمَّا رَزَقْنَاهُمْ يُنفِقُونَ أُولَـٰئِكَ هُمُ الْمُؤْمِنُونَ حَقًّا
“Hakika si venginevyo waumini ni wale ambao anapotajwa Allaah, basi nyoyo zao zinajaa khofu na wanaposomewa Aayah Zake huwazidishia imani na kwa Mola wao wanategemea; ambao wanasimamisha swalah na hutoa sehemu katika yale tuliyowaruzuku. Hao ndio Waumini wa kweli! Wana ngazi [za juu] kwa Mola wao na msamaha na riziki tukufu.”[1]
Aayah hii iliteremshwa juu ya viongozi wa waumini, Abu Dharr na Salmaan.”[2]
Hakutoa uthibitisho wa madai haya kutoka kwa imamu yeyote. Wala hakutaja mnyororo wa wapokezi. Basi amepata wapi haki ya kuhusisha Aayah hii tukufu, inayowahusu Mitume, wakweli, waja wema na mashahidi, kwa ´Aliy na watu watatu tu? Hivi ndivyo wanavyodai kwa matamanio yao, wakihodhi Pepo ili kuwatoa Maswahabah wa Muhammad (Swalla Allaahu ´alayhi sallam) ambao wanahusika moja kwa moja na Aayah hii kwa haki baada ya Mitume. Ole wao na mbali kabisa na njia ya haki, akili zao zenye kasoro, mbinu zao potovu na imani zao zilizojaa ufisadi!
[1] 8:2-4
[2] Tafsiyr al-Qummiy (1/255).
Muhusika: ´Allaamah Rabiy´ bin Haadiy al-Madkhaliy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: al-Intiswaar li Kitaab-il-´Aziyz al-Jabbaar, uk. 216
Imechapishwa: 18/02/2025
https://firqatunnajia.com/156-al-qummiy-upotoshaji-wake-wa-kwanza-wa-al-anfaal/