2 – Kumswalia swalah ya jeneza kila muislamu ijapo atakuwa mtenda madhambi. Muda wa kuwa hajatoka nje ya Uislamu, basi yeye ni muislamu miongoni mwa waislamu wengine; yale ambayo ni kwa manufaa ya waislamu, ana fungu lake, na yale ambayo ni dhidi ya waislamu, ana fungu lake. Hata hivyo hatakiwi kuswaliwa pale atakapotoka nje ya Uislamu, kwa sababu atakuwa sio tena muislamu. Si haki ya kila mtu kuwahukumu watu kuritadi. Hakika si venginevyo jambo hilo linafanywa na wanazuoni wa Ahl-us-Sunnah wal-Jamaa´ah kwa kurejea katika misingi ya Ahl-us-Sunnah wal-Jamaa´ah. Ama kila mmoja hatakiwi kufanya hivo. Hata kama mtu huyo asiyestahiki kusudio na nia yake ni njema, hukumu kama hizo zinatolewa na wale wanazuoni waliobobea katika elimu.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Ta´liyqaat al-Mukhtaswarah ´alaal-´Aqiydah at-Twahaawiyyah, uk. 162
- Imechapishwa: 26/11/2024
2 – Kumswalia swalah ya jeneza kila muislamu ijapo atakuwa mtenda madhambi. Muda wa kuwa hajatoka nje ya Uislamu, basi yeye ni muislamu miongoni mwa waislamu wengine; yale ambayo ni kwa manufaa ya waislamu, ana fungu lake, na yale ambayo ni dhidi ya waislamu, ana fungu lake. Hata hivyo hatakiwi kuswaliwa pale atakapotoka nje ya Uislamu, kwa sababu atakuwa sio tena muislamu. Si haki ya kila mtu kuwahukumu watu kuritadi. Hakika si venginevyo jambo hilo linafanywa na wanazuoni wa Ahl-us-Sunnah wal-Jamaa´ah kwa kurejea katika misingi ya Ahl-us-Sunnah wal-Jamaa´ah. Ama kila mmoja hatakiwi kufanya hivo. Hata kama mtu huyo asiyestahiki kusudio na nia yake ni njema, hukumu kama hizo zinatolewa na wale wanazuoni waliobobea katika elimu.
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: at-Ta´liyqaat al-Mukhtaswarah ´alaal-´Aqiydah at-Twahaawiyyah, uk. 162
Imechapishwa: 26/11/2024
https://firqatunnajia.com/152-kumswalia-kila-muislamu/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)